
Hongera kaka B wa Kweli..We hope that Blog yako itakua moto wa kuotea mbali.Nami pamoja na wadau wengine sehemu zote duniani tutakua pamoja nawe!
Wasalaam
Mdau toka Nederland.
Kitafahamika Kama Sio Kujulikana!!!Kwa Habari Za Michezo Burudani Nje Na Ndani Ya Bongo Ingia Itajulikana Kila Siku!!
2 comments:
its nice..hongera wangu ila isije ikawa zile za kutiana aibu...pamoja....Z hapa
You got the entire fame behind you hommie... Ila usigeuke zeutamu maana pale hola!
Post a Comment