Monday, October 20, 2008

"Chipukizi wa Kibongo Ang'ara Denmark"


Mtoto Ayoub kama tumuonavyo katika picha akiwa na club yake ni mzaliwa wa Tanzania...Kijana huyo ambae anachezea katika club moja ya watoto inchini Denmark ameonyesha kung'ara hasa kwa uwezo wake mkubwa katika nafasi ya ushambuliaji...Glob yetu iliweza kuwasiliana na mwalimu wa team hii na alituhabarisha kwamba Ayoub ni mchezaji ambaye anategemewa na club yake katika ufungaji wa magoli..

Haya kazi kwako Maximo...watoto uliokua unawahitaji si ndo kama hawa??

2 comments:

Anonymous said...

haya sasa...hapo kweli Maximo kazi kwake...ila huyo dogo ana uraia wa Bongo au ndo kashakuwa wa kihuko?

Anonymous said...

Kaka huyu hali inavyobashiri wazungu washamlambisha chekundu...wenzetu wakiona kitu kipaji hawakiachii!!!