Thursday, October 16, 2008

Fiesta Tanga Ilikuwa FULL Kujiramba

ChiChiChiiid Benz...King Kong..HeHe Jamaa ana Mabaunsa Kweli Bongo Ni Noma...Itajulikana Tu
Anita yeyeyee Anita wangu....Matonya akiwakilisha....alikuwa mwenyeji
C PWAAAA....Naye alikumbuka alikotoka.....
Mzee wa Komesho akikamua Habari Ndiyo Hiyo....AY

Cheki Nyomi la watu Lilivyobamba siku ya Fiesta Tanga yani Ilikuwa Full Kujiramba, Kuanzia wenyeji kina Matonya, wagosi wa kaya Danny Msimamo mpaka kina Chid Benz waliwakilisha...pata Uhondo kidogo ilivyokuwa....

2 comments:

B wa kweli said...

E bwana wakilisha tupate mambo mapya kila baada ya dakika si mchezo mwana...Nimekukubali Mbaya mzazi...

Anonymous said...

sisi tunasubiri watatuletea nani mwaka huu!!!...