Friday, October 17, 2008

"Je Tunavikumbuka Hivi Vichwa??"


Tutakua tumekosa fadhila kama tutakua tumewasahau hawa jamaa..Kama tutakua na kumbukumbu waliweza kuibamba kisawasawa Tanzania na East Afrika kwa ujumla kwa muziki wa miondoko ya Bongo Flava katika miaka ya nyuma,Si wengine ila ni kundi zima la Daz Nundaz Family...Na baadhi ya kazi zao ambazo ziliweza kupagawisha ni kama vile Barua,Maji ya Shingo,Kamanda na vingine vingi....Sasa swali linakuja;Wapo wa wapi washkaji hawa hivi sasa??Au tuseme mwaka wa shetani uliwahusu kama alivyosema Mh Temba???Jimu mnalo nyinyi ma Binamu wangu wa kweli!!

1 comment:

Anonymous said...

yap..hawa jamaa walitisha enzi zao ila sasa lililowakumba na kuwapoteza ndo mtihani!!..WAKO WAPI DAZ NUNDAZ?.wazungu wenyewe wanasema,thts a million dollar question...hope watarudi, au wamepotea na Miika Mwamba?.