Thursday, October 16, 2008

"Mambo ya Pinda Mugongo"


Haya jamani..Tusidhani mambo ya pinda Mugongo ni kibongo bongo tu!!Yapo mpaka viwanja vya mbele!!

2 comments:

Anonymous said...

Kule kwetu hii tunaiita "Sanula"Duh hawa jamaa nina wasiwasi walishaishi Congo...Maana hizi pigo sio mchezo!!!

Anonymous said...

Na kweli itajulikana hii si pinda mgongo tu bali wanafefea ki down low