
Baada ya wapenzi walipo inchi mbali mbali za Europe kupata uhondo toka kwa msanii wa muziki wa Bongo Flava Alli Kiba sasa ni wakati wao tena kujidai kwa kupata mikandamizo ya kimatonya matonya.Mwanamuziki Matonya anakaribia kuja kuwarusha watu wa Europe kwa ziara ilopewa jina la Matonya Europe Tour.
Haya mabinam wa Europe tukaeni mkao wa kula.Na ratiba ni kama ifuatavyo.
1.Belgium 7/11/08
2.France 8/11/08
3.Finlad 15/11/08
4.Norway 21/11/08
5.Berlin 22/11/08
6.Nederland 28/11/08
7.Frankfurt 29/11/08
Ni wakati wetu jamani kuja kujionea huyo aliyepewa jina la Tax Bubu,Vailet na Anita wapoje???
1 comment:
uk lini huyu mtu jamani?
Post a Comment