Tuesday, November 11, 2008

Fiesta FULL Kujiramba Bongo

Tabasamu nipate furaha.....nae alikuwepo...Blue
Nzombe Matembele....Hahaha Ngwasuma Full Kujiramba.....
Mzee wa kimya kimya akiwa na Mansu Li jukwaaani
Kat de Luna funikwa bovu na ngwea kumbe wabongo tunaweza....lazima itajulikana tu siku moja
Maunda zorro nae alikuwepo....
Lordeyz wa nako 2 nako akiwakilisha jukwaani...wewe wewe ndio mchiz waaangu
Sister P alichonga sana wapi Yupo?....Jamaa anauliza....Mwana FA

Nipeni Deal Masela....Nipeni deal Masela tukamate Mahela....Mchizi Ngwea akisabaisha on the stage pamoko na makachala wa East Zuu....


Cheki watu walivyojiramba Fiesta Bongo, yani ilikuwa full mamizuka, kiufupi Kat De Luna alifunikwa na Ngwea, Ngwea alibamba show kuliko yeyote....Nipeni deal masela tukamate mahela....e bwana naweza kusema Ngwea anatisha bado sana waliosema amekufa walikosea sana

1 comment:

Anonymous said...

Jamani Ngwea ni noma!!!Huyu jamaa hapimiki hata kwa mizani la umeme!!