Mabinam wa kweli tusaidiane katika kutafakari maisha ya badae ya huyu dogo..Umri huo tayari namna hiyo!!!Tukisema aliyafanya mwenyewe si kweli..hii itakua wazazi...sasa je mtoto huyu atakapofikia ujana wake itakuaje???Na sasa huu tuite urembo kweli??Mi nadhani huu uchafu na ukosefu wa akili wa wazazi wahusika..Je nyie mnasemaje??
UNAITWA USIKU WA KUJIACHIA NA NDOVU
16 years ago
1 comment:
huyo mtoto wa Dennis Rodman nini?.
Post a Comment