Friday, November 21, 2008

"Kikongwe Nae Yumo"


Jamani mabinamu wa kweli sasa huyu tumute sister au bibi??Na je hapa ana chat??Anasoma barua pepe??Au ni kitu gani kinaendelea kwa sister bibi huyu??Tusaidizane mabinam wa kweli.

3 comments:

Anonymous said...

huju naona huyu ni sister tereza.na yuko busy anabeshuza about churh.je papa mpya ataitw nani?au wenzangu mnaonaje

Anonymous said...

mmh...huo mtihani mabinamu...no comments!!

Anonymous said...

Mumu jamani muache bibi yangu...Mwenyewe ananitafutia babu kupitia mtandao!!Mambo ya chatiin hayo!!