Monday, November 10, 2008

Makeba Hatunaye Tena Duniani!!!


Mwanamuziki mkongwe wa kutokea kwa Madiba(South Africa)Mirium Makeba amefuriki dunia kwa ugonjwa wa moyo..Mwanamziki huyo ambaye aliwahi kutamba kwa vibao vyake kama vile Pata Pata na Malaika ambacho alikiimba katika lugha ya kiswahili amefariki dunia inchini Italy.

Mungu aiweke roho ya marehem mahala pema peponi.

Amin.

1 comment:

Anonymous said...

rest in pc bibi!!