Thursday, November 20, 2008

"Naongea Na Wewe Ya Binamu Kwenye Video".


Mwanamuziki wa Kizazi Kipya(Bongo Flava)Hamis Mwinjuma "Mwana F.A(Binamu)hivi karibuni ameongea na kusema kuwa anatarajia kuja na video ya wimbo wa Naongea na Wewe.

Baada ya "Habari Ndo Hiyo" na "Bado Nipo Nipo" sasa ni "Naongea Na Wewe" videoni.Hizo zote ni nyimbo zake mpya ambazo zimo ndani ya album yake ya ""Mabibi na Mabwana"

Mwamba huyo wa miondoko ya Bongo Flava kwa sasa anabamba na pini lake la Bado Nipo Nipo ambayo inatamba katika vituo mbali mbali vya redio na television.

2 comments:

Anonymous said...

mi huyu binadamu namuaminia sana!!.. the DSM finest!!..

Anonymous said...

Wacha wakina babu wapige kelele..Huu mtambo naukubali,na sio mimi tu ila wanaojua music wote wanamkubali kua hiki kichwa.
Hiyo haitoshi,vile vile mi ni Binamu wake wa kweli!!