
Alicia kama anavyoonekana pichani ali toa duku duku lake pale alipoweka wazi kua anadatishwa na Ali Kiba ambae mwanamuzi wa miondoko ya Bongo flava.Dada huyo aishie Holland aliweka wazi alipopata nafasi ya kuongea na blog hii kua anamzimia sana mwanamuziki Ali Kiba hasa kutokana na sauti yake na jinsi anavyoweza kulitawala jukwaa wakati show zake,Dada huyo aliyepata nafasi ya kuhudhuria show ya Ali Kiba alipotembelea Holland aliongeza kusema kwamba kati ya nyimbo zinazomkosesha usingizi ni Mac moga.
Haya Kiba nadhani ni wakati wako huu wa kufanya harakati za kuomba visa kwa mara nyingine kwani kwa hakika si dada huyu tu ila ni wengi wanaohitaji kukuona kwa mara nyingine.
2 comments:
Huyu Alicia ndio nani? Au tunamuongelea ms.Keyes?
sister ni naona ujaribu kwingine coz alikiba anawengine.wanaomjali halafu inaonekana kba hafagilii watoto wa udachini so me naona urushe namba kwingine.kwani hata wanaomjali wakijua wanaweza kukurushia nzi wa kijani so akili kichwani mwako.take care!!!!!!!!!!!!!
Post a Comment