Mmoja wa wasanii katika kundi la TMK Wanaume Halisi Inspector Harun,amefungasha virago kwa kujitoa katika kundi hilo na kuamua kufanya kazi zake kwa kujitegemea.Inspector alichukua uamuzi huo baada akitoa sababu ya kua kundi hilo lilikua likimpotezea muda.
Msanii huyo ambae kabla ya kujiunga na kundi hilo alikua mmoja kati ya wasanii wa Gangwe Mob na baadae kuamua kujitegemea kabla haja amua kutimkia TMK Wanaume Halisi ambako nako ametangaza kujiengua mwanzoni mwa wiki hii
Haya sasa sijui akitoka hapo atakimbilia wapi huyu jamaa???Ma binamu wa kweli mnasemaje kuhusu sababu na uamuzi wa jamaa??
1 comment:
mi jamaa simpendi hata chembe yaani halafu alivyomjibu binamu ndo kazidi kuntibua...na atahama sana,pumbavu zake!!..nasikia anakuja na track mpya inaitwa 'habari sio hiyo'(hahahhaha)....
Post a Comment