Saturday, October 25, 2008

Pongezi toka India


yap! huyu ndio B wa ukweli,nikisema wa ukweli namaanisha mwana WA UKWELI KIUKWELI TOKEA KITAMBO.ebwana mwana big up sana kwa kuanzisha channel la kuwapa watu news,na kwa kudra za mwenyezi mungu lazima ITAJULIKANA TU.i got ya bak on this one brah...big up nyingi sana kutoka kwa wana pande hizi za asia...kip it real son...mzuxxx

2 comments:

Anonymous said...

Aminia Binamu wa kweli...Nipe shavu kinamna ile mwana...na mi siwaangushi...itakua full mizuka Inshallah.

Anonymous said...

Ah! Toto lakipemba hilo. Wacha we! Ushanfaham mie au sio? www.kupondacamp.com