

Mzee wa Nipe Dili huweenda ikawa ni nafasi yake nyingine ya kuomba dili pale ambapo atapata nafasi ya kupanda jukwaa moja na wanamuziki maarufu wa miondoko ya Hip Hop toka inchini Marekani Fat Joe na mwanadada Eve tarehe nane ya wmezi ujao.Nafasi hiyo ya kusindikiza wanamuziki hao maarufu duniani pia imekwenda kwa wasanii wengine kama vile Joh Makini na Mwana FA.Ni matumaini ya watanzania kua wanamuziki hao toka nyumbani wataweza kuitumia nafasi hii vizuri ili kuweza kujitangaza zaidi kimuziki nche ya inchi.
No comments:
Post a Comment