Monday, November 17, 2008

Mama Politician Na Style Yake Kama Kawa.


Mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Bongo flava(muziki wa kizazi kipya) ambaye ni miongoni mwa wanamuziki wa miondoko hiyo ambaye yupo juu kwa sasa Nakaaya Sumari au mama Politician amenena live kua hataacha style yake ya kuvaa nguo za nusu uchi."Hi ni style yangu ya kuvaa tangu nipo mdogo...sito acha hata nikiolewa."

Akizungumza Nakaaya alisema anakerwa na kushangazwa sana na tabia ya watu wanaomuandama juu ya uvaaji wake.Nakaaya amewahabarisha kwa kusema kwamba wachonge tu ila yeye hatoacha kuvaa ngou hizo.

No comments: