Wednesday, November 19, 2008

Odemba Kurejea Nchini Nov 24!!


Ni mrembo pekee aliyewahi kushika nafasi ya juu zaidi Afrika naameiwakilisha vizuri Tanzania kwani ameweza kutangaza utamaduni wetupamoja na utalii na hivyo kuonyesha heshima ya kipekee ya nchi yetu naArica kwa jumlaMrembo huyo aliweza kuwa mshindi wa pili ktk mashindano ya kumtwaa missEarth yaliyofanyika Phillpines wiki iliopita.Aidha miriam ondemba anatarajia kurejea nchini Nov 24.

No comments: