
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars)kesho itashuka uwanjai kukipiga na timu ya Taifa ya Msumbiji katika uwanja mpya wa Taifa ikiwa ni mchezo wa kirafiki wa kujinoa kabla timu hiyo ya Taifa Stars haijakutana na timu ya Sudan katika kuwania kufuzu kucheza Kombe La Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani.
"Lazima tushinde mechi na Msumbiji ili kuitisha Sudan kwani rekodi nzuri huogopesha kitu chochote unachotarajia kukutanza nacho"hayo yalisemwa na kocha mkuu wa timu hiyo Marcio Maximo kutoka inchi ya Brazil.
Kila la kheri Taifa Stars.
No comments:
Post a Comment