Monday, October 27, 2008

Kanye And....Who!??



If you were shocked to hear that rumor about Kanye West and Rihanna kissing backstage at a T.I. show, you won’t believe this one.
Page Six is reporting that Kanye recently made out with ex-Danity Kane member Aubrey O’Day at Manhattan lounge 1 Oak.
A Page Six source said “Either they actually kissed, or Aubrey was just telling people they kissed.”

Sunday, October 26, 2008

Ngwea Na Nge 1982.


Ule usemi wa ukimuona kobe ameinama ujue anatunga sheria umejidhihirisha kwa msanii wa miondoko ya Bongo flava Robert Mangwea baada ya kutoka tena na kubamba kisawasawa.

"Sio kwamba sipendi misosi ya kumwaga,ma-pizza ma-barger na mazaga mazaga,ni kwa vile tu hatuna mahela"ni miongoni mwa mistari iliyomo katika mwimbo wake wa Nipeni dili uliomo katika album yake mpya ya Nge 1982 iliyomo na nyimbo nyingine kama Mida Mibovu,Singida Dodoma na She Performs aliyompa shavu TID ambazo tayari zimeanza kurushwa hewani.

Wimbo huu wa Nipeni dili umeonyesha kua Ngwea ni kichwa cha kuotea mbali kutokana na mashairi yake na uwezo mzima wa kutambaa na beat..Nipeni dili imeweza kujishika chati za juu katika vituo vingi vya redio hivi sasa.

Ngwea ambae ni mmoja wa wasanii kutoka katika kundi la Chamber Squad anatarajia kuingiza sokoni album yake ya pili baada ya kumalizika kupikwa.

Kama tutakumbuka albam yake ya kwanza ya Bado Nimo a.k.a mimi ili weza kutesa na vibao kama vile:Getho langu,Mikasi,Napokea Simu na vingine vingi.

Haya tunakungoja kaka kwa mwendo wa Nipeni dili Masela Tukakamate Mahela.

Saturday, October 25, 2008

Tragedy Strikes Hudson Family


Jennifer Hudson’s mother and brother were shot and killed in Chicago today. Both bodies were discovered by a cousin in the area.
Hudson is believed to be on her way to Chicago right now.
Our thoughts and prayers are with Hudson and her family at this most difficult time.

Alicia Adatishwa na Ali Kiba




Alicia kama anavyoonekana pichani ali toa duku duku lake pale alipoweka wazi kua anadatishwa na Ali Kiba ambae mwanamuzi wa miondoko ya Bongo flava.Dada huyo aishie Holland aliweka wazi alipopata nafasi ya kuongea na blog hii kua anamzimia sana mwanamuziki Ali Kiba hasa kutokana na sauti yake na jinsi anavyoweza kulitawala jukwaa wakati show zake,Dada huyo aliyepata nafasi ya kuhudhuria show ya Ali Kiba alipotembelea Holland aliongeza kusema kwamba kati ya nyimbo zinazomkosesha usingizi ni Mac moga.


Haya Kiba nadhani ni wakati wako huu wa kufanya harakati za kuomba visa kwa mara nyingine kwani kwa hakika si dada huyu tu ila ni wengi wanaohitaji kukuona kwa mara nyingine.

Babu Aamua Kutoka Kivyake.


Mmoja wa wasanii katika kundi la TMK Wanaume Halisi Inspector Harun,amefungasha virago kwa kujitoa katika kundi hilo na kuamua kufanya kazi zake kwa kujitegemea.Inspector alichukua uamuzi huo baada akitoa sababu ya kua kundi hilo lilikua likimpotezea muda.

Msanii huyo ambae kabla ya kujiunga na kundi hilo alikua mmoja kati ya wasanii wa Gangwe Mob na baadae kuamua kujitegemea kabla haja amua kutimkia TMK Wanaume Halisi ambako nako ametangaza kujiengua mwanzoni mwa wiki hii

Haya sasa sijui akitoka hapo atakimbilia wapi huyu jamaa???Ma binamu wa kweli mnasemaje kuhusu sababu na uamuzi wa jamaa??

Pongezi toka India


yap! huyu ndio B wa ukweli,nikisema wa ukweli namaanisha mwana WA UKWELI KIUKWELI TOKEA KITAMBO.ebwana mwana big up sana kwa kuanzisha channel la kuwapa watu news,na kwa kudra za mwenyezi mungu lazima ITAJULIKANA TU.i got ya bak on this one brah...big up nyingi sana kutoka kwa wana pande hizi za asia...kip it real son...mzuxxx

Tuesday, October 21, 2008

"Political Quote of The Day"



“Pardon the cliché but we need something to change. I think Barack would be a breath of fresh air, to get in there and actually get what’s left of the Bush administration out the door.”
-Eminem endorsing Barack Obama on BBC radi

"Diddy Buys Enyce"



Diddy’s Sean John company purchased Enyce for $20 million - less than a fifth of what the company was sold for in 2003 when Liz Claiborne snatched the urban brand up.
No word on what Diddy, a longtime fan of the Enyce brand, plans to do with the label.

"Dogo na Cha Meru"


Sijii akitoka hapo huo mzuka utakua wa namna gani??Mabinamu hembu tuambizane nyie mnaonaje hii???

"Dolemite Died"



Actor and comic Rudy Ray Moore, best known for his 1975 classic film, Dolemite, passed away of complications from diabetes Sunday. He was 81.
Moore didn’t just portray every rapper’s favorite pimp, he himself was a rapper of sorts. Moore’s dirty rhymes and suave pimpish delivery clearly influenced rappers like Snoop Dogg, Too Short, 2 Live Crew, and DJ Quick.

Monday, October 20, 2008

"Joseph Haule kwenda kwa Joseph Kabila"


Mwamba wa miondoko ya Hip Hop ndani ya Bongo Joseph Haule(Prof Jay) anatarajiwa kuondoka na kwenda inchi ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo yote ikiwa ni kwa ajili ya kwenda kupiga kampeni za kuomba kura za masela wa inchi hiyo katika tuzo za MTV Afrika(MTV AFRCA MUSIC AWARDS)

Tuzo hiyo ambayo pia itawashirikisha nyota wa mziki wa Hip Hop kutoka Marekani The Game pamoja na Lily Wayne inatarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Habari ambazo zilizothibitishwa na mwakilishi wa MTV ndani ya Bongo,Christine Mosha,zilisema kwamba washiriki wote watakwenda katika nchi walizopangiwa kwenda kuomba kura,ambapo mwakilishi wetu Prof Jay yeye alipangiwa kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo.

Watanzania wote tupo pamoja na Prof Jay..Tunamuomea mafanikio katika kinyang'anyiro cha tuzo hiyo.

"Kila mtu Hula kwa jasho lake"


Binamu wa kweli katika pita pita zake alimkuta jamaa akijitafutia rizki kwa mtindo huu kama inavyojionyesha kwenye picha...Omba omba wa Bongo kwa nini wasibuni mtindo kama huu???Mi naona itakua nzuri zaidi kwani watakula kweli wamekula rizki waliyoitolea jasho...Au mnasemaje Mabinamu zangu wa kweli???

"Lil Wayne named lyricist of year by BET".



Lil Wayne was named lyricist of the year and Russell Simmons was honored as a hip-hop icon at this year’s BET Hip-Hop Awards taped on Saturday in Atlanta.The New Orleans rapper, who was nominated for 12 awards, was also named MVP of the Year and the Alltel Wireless People’s Champ at the ceremony, which was hosted by T-Pain instead of scheduled host, comedian Katt Williams.
The show featured a hip-hop matriarch medley that included MC Lyte, Yo-Yo, and Salt-n-Pepa. DJ Khaled, Young Jeezy, Ludacris, Busta Rhymes, Big Boi, Lil Wayne, Fat Joe, Birdman and Rick Ross took home the award for Best Hip-Hop Collaboration for "I’m So Hood (The Remix)."
T.I. also made this year’s show. The Atlanta rapper was scheduled to headline last year’s ceremony, but was arrested hours before the event on federal weapons charges after he was caught trying to purchase semi-automatic guns and silencers. T.I. pleaded guilty earlier this year and is scheduled to be sentenced in March.
Atlanta factored heavily into the night’s festivities, with a performance by Young Jeezy, Soulja Boy and Bow Wow. Shawty Lo was named MySpace Music Rookie of the Year.
LL Cool J presented Simmons with the "I Am Hip-Hop" Icon award, given to an individual who has made notable contributions of outstanding significance to the hip-hop community. Simmons was recognized as a philanthropic inspiration to other artists.
Atlanta rapper Shawty Lo was named MySpace Music Rookie of the Year.
The awards show will air on Oct. 23.

"Chipukizi wa Kibongo Ang'ara Denmark"


Mtoto Ayoub kama tumuonavyo katika picha akiwa na club yake ni mzaliwa wa Tanzania...Kijana huyo ambae anachezea katika club moja ya watoto inchini Denmark ameonyesha kung'ara hasa kwa uwezo wake mkubwa katika nafasi ya ushambuliaji...Glob yetu iliweza kuwasiliana na mwalimu wa team hii na alituhabarisha kwamba Ayoub ni mchezaji ambaye anategemewa na club yake katika ufungaji wa magoli..

Haya kazi kwako Maximo...watoto uliokua unawahitaji si ndo kama hawa??

Friday, October 17, 2008

"Je Tunavikumbuka Hivi Vichwa??"


Tutakua tumekosa fadhila kama tutakua tumewasahau hawa jamaa..Kama tutakua na kumbukumbu waliweza kuibamba kisawasawa Tanzania na East Afrika kwa ujumla kwa muziki wa miondoko ya Bongo Flava katika miaka ya nyuma,Si wengine ila ni kundi zima la Daz Nundaz Family...Na baadhi ya kazi zao ambazo ziliweza kupagawisha ni kama vile Barua,Maji ya Shingo,Kamanda na vingine vingi....Sasa swali linakuja;Wapo wa wapi washkaji hawa hivi sasa??Au tuseme mwaka wa shetani uliwahusu kama alivyosema Mh Temba???Jimu mnalo nyinyi ma Binamu wangu wa kweli!!

"SALUTE"


Hey B wa Kweli..I would like to say Congratulation to you for your nice idea.We expect to get more and more and more News over the World when we visit your website.We will always stay together with you!!!

This is from your Cousin wa kweli,

Ameina Rotterdam Nederland.

Thursday, October 16, 2008

Stara na Chid Benz Usipime Hapo...


Gwiji la muziki wa zouk nchini Stara Thomas anakuja kivingine baada ya kuamua kumpa shavu mkali na nyota wa miondoko ya 'Hip hop' Chid Benzi kutoka kundi la Lafamilia kwenye pini lake jipya liitwalo 'Nini sina". Kwa mujibu wa Stara ambaye ni mama wa watoto wawili kwasasa, anauhakika kazi aliyoifanya itabamba kwani nia na madhumuni yake ni kuwapa raha wapenzi wake waliokuwa na kiu ya kumsikia baada ya kimya kirefu.Akiendelea mdada huyu alisema tayari ameshaanza maandalizi kwa ajili ya video track hilo lenye maudhui ya kimapenzi..Haya Wadau Sikilizia Pina la Ukweli Hilo.....Si Kitoto....

Fiesta Tanga Ilikuwa FULL Kujiramba

ChiChiChiiid Benz...King Kong..HeHe Jamaa ana Mabaunsa Kweli Bongo Ni Noma...Itajulikana Tu
Anita yeyeyee Anita wangu....Matonya akiwakilisha....alikuwa mwenyeji
C PWAAAA....Naye alikumbuka alikotoka.....
Mzee wa Komesho akikamua Habari Ndiyo Hiyo....AY

Cheki Nyomi la watu Lilivyobamba siku ya Fiesta Tanga yani Ilikuwa Full Kujiramba, Kuanzia wenyeji kina Matonya, wagosi wa kaya Danny Msimamo mpaka kina Chid Benz waliwakilisha...pata Uhondo kidogo ilivyokuwa....

"Salam toka Nederland"


Hey i know u as Said..but anyway lets use B wa kweli..Hongera kwa kuanzisha Blog and I wish u all the best.Tupo pamoja kama kamasi na pua!!

"Mambo ya Pinda Mugongo"


Haya jamani..Tusidhani mambo ya pinda Mugongo ni kibongo bongo tu!!Yapo mpaka viwanja vya mbele!!

"Big Up Brother"


Hongera kaka B wa Kweli..We hope that Blog yako itakua moto wa kuotea mbali.Nami pamoja na wadau wengine sehemu zote duniani tutakua pamoja nawe!

Wasalaam

Mdau toka Nederland.